Huduma za Kitabibu Tunazotoa
Kuanzia uchunguzi wa kawaida hadi huduma maalum za mama na mtoto, timu yetu ipo tayari kukuhudumia kwa ubora na weledi.
OPD – Idara ya Wagonjwa wa Nje
Uchunguzi na matibabu ya magonjwa mbalimbali kwa watoto na watu wazima.
RCH – Afya ya Uzazi na Mtoto
Huduma za afya ya uzazi, kliniki ya wajawazito, chanjo na ufuatiliaji wa afya ya mtoto.
Huduma za Maabara
Vipimo vya maabara vinavyosaidia kupata majibu sahihi na matibabu yanayofaa.
Famasi
Upatikanaji wa dawa na maelekezo sahihi kutoka kwa wataalamu wetu wa famasi.
Ultrasound
Huduma za ultrasound kwa wajawazito na uchunguzi mwingine wa kitabibu.
Huduma za Meno
Uchunguzi, usafishaji na matibabu ya afya ya kinywa na meno.
Huduma za Mama na Mtoto
Huduma maalum kwa mama, mtoto mchanga na familia.
Ushauri wa Kitabibu wa Jumla
Ushauri wa afya, uchunguzi wa kawaida na ufuatiliaji wa matibabu.